THE WORLD BANK GROUP A World Free of Poverty
Home


Kwanini

Kwanini ni muhimu

Malengo

Mafanikio

Kiunzi cha utendaji

MA kwa mtazamo wa Haraka

Databesi

Washiriki wenzi

Nini kipya

Taarifa za MA

Rasilimali za MA

Mabunda ya MA

Mrejesho

Maarifa ya Asili ni muhimu kwa nini?

  • MA yanaauni mikakati ya kutatanua mashida kwa jumuiya za wenyeji, hasa watu maskini.
  • MA yanachangia michango muhimu kwa maarifa ya maendeleo duniani.
  • Mifumo ya MA yamehatarishwa kuhiliki.
  • MA yanahusika mfumo wa maendeleo.
  • MA hayatumiwa ya kutosha kwenye mfumo wa maendeleo.

Kujifunza kutoka kwa MA, kwa njia ya kuchunguza kwanza ujuzi na uwezo wa jumuiya za wenyeji, inaweza kuzidi ufahamu wa hali za kimwetu, na mahala pa kusukumiza utenzi unaopangwa kuzisaidia jumuiya za wenyeji.

Muhimu juu ya kila kitu ni kwamba Benki ya Dunia na washiriki wake wa maendeleo wanaweza kupunguza umaskini wakifaidia kutoka nafasi ya kugeuza mawazo ya MA na kuyashirikisha kwenye miradi yao ya kutoa msaada.

Kwa mfano...

  • Upungufu wa kifo cha akina mama nchini Uganda
  • Ugawanyaji wa msaada wa chakula nchini Nepal
  • Ukomeshaji wa kijadi cha tohara ya wanawake wa kijiji cha Malicounda nchini Senegal
  • Mifumo ya afya ya akina mama na watoto baada ya uzalishaji kati ya Waibo nchini Nigeria.

Kwa maelezo mengine kuhusu MA, tazama MA Kiunzi cha Utendaji na Rasilimali za MA


Footer