THE WORLD BANK GROUP A World Free of Poverty
Home


Kwanini

Kwanini ni muhimu

Malengo

Mafanikio

Kiunzi cha utendaji

MA kwa mtazamo wa Haraka

Databesi

Washiriki wenzi

Nini kipya

Taarifa za MA

Rasilimali za MA

Mabunda ya MA

Mrejesho

MA ni nini?

Maarifa ya Asili ni ujuzi wa kienyenji

MA ni ya pekee kwa kila utamaduni au jumuiya.

MA ni msingi wa uamuzi wa kimwetu katika:

- kilimo

- utabibu

- maandalio ya chakula

- elimu

- hifadhi ya mazingira, na

- utenzi wengine tele kwenye jumuiya za wenyeji.

MA yanaauni mikakati ya kutatanua mashida kwa jumuiya za wenyeji.

MA huwa ni ya jumuiya badala ya mtu mmoja peke yake.

MA ni ujuzi wa masikizano, na kwa hivyo ni vigumu kuorodhesha.  Yanashiriki katika mifumo, madhehebu, mahusiano, mila na desturi za jumuiya.

 (Kwa maelezo mengine kuhusu MA, tazama Rasilimali za MA)

 

 


Footer