|
Kwanini
Kwanini
ni muhimu
Malengo
Mafanikio
Kiunzi
cha utendaji
MA
kwa mtazamo wa Haraka
Databesi
Washiriki
wenzi
Nini
kipya
Taarifa
za MA
Rasilimali
za MA
Mabunda
ya MA
Mrejesho
|
Mafanikio
mpaka mwezi Novemba, 2000.
Kukusanya
na kueneza MA
- Tulitengeneza databesi na tukakusanya tukaunganisha
zaidi ya kesi mia mbili.
- Tumeshua “IK Notes” na tukachapisha matoleo ishirini
na sita (kwa Kiingereza, Kifaransa, na machache kwa Kireno na Kiwolof
– kwenye webu na kama vitabu, kufika kwa wasomaji elfu ishirini)
- Tulichapisha ripoti “MA kwa Maendeleo: Kiunzi
cha Utendaji”
- Tulitayarisha vijitabu kwa Kiingereza, Kifaransa,
na Kireno
- Tumehubiri kuhusu MA ndani ya Benki na Dunia
na mbele ya hadhira za nje (AVSP, UNDP, GTZ, SDC, APQC, SID, FAO,
IFAD, UNCTAD, Red Cross, Chemonics, NTCA, GKII, FEI)
Kujenga
uwezo wa kurahisisha mabadili ya MA
- Tulijalia taasisi nne za MA (Camerun, Tanzania,
Zimbabwe, na Uhabeshi) kutafiti mifumo ya MA na kuunganisha matokeo
- Tulijalia taasisi nne za MA (Uganda, Ghana, Tanzania,
na Burkina Faso) kwa kuongoa uwezo wa kubandika kompyuta kwenye Webu
na kuunganisha pamoja.
- Wajumbe wa vijiji vya nchi za Senegal na Uganda
walionyesha kesi za MA kwenye Mkutano wa Pili wa Ujuzi Duniani, nchini
Malaysia.
- Tuliyaitika maulizo ya maarifa kama mia nne
- Tuliingiza
MA kwenye Mlango wa Maendeleo Duniani (Global Development Gateway)
- Tumesaidia uwezo wa kuunganisha kompyuta kwa
MA ya nchi za Afrika ya Mashariki.
- Tulisaidia majaribio ya “Mabadili Kijiji hadi
Kijiji” nchini Afrika ya Kusini pamoja na Mtambo Duniani wa Masikilizano
ya Kupigana na Ujangwa, na mashirika yasiyo ya kiserikali (Kikundi
cha Kudhibiti Mazingira na RIOD na CCD/NGO Focal Point ya Afrika ya
Kusini)
Kutumia
MA kwenye mfumo wa maendeleo
- Tumesaidia nchi ya Uganda wakati wa kuumba mkakati
wa taifa kuhusu MA
- Tumetoa shauri kwa Shirika la Taifa la Utafiti
wa Kilimo kuhusu kutumia MA ndani ya Mradi wa Utafiti na Mazoezi ya
Kilimo uliosaidiwa na Benki ya Dunia.
·
Tumetoa
shauri kwa vikundi vinavyozingatia mifumo ya MA kwenye rasimu ya kazi
zinazosaidiwa na Benki ya Dunia.
- Tulichapisha kanuni kwa kuzingatia MA kwenye
upangaji na utekelezaji wa miradi inayoshirikiana na ILO, CIDA, na
KIVU Nature Dyk.
Kutengeneza
usharikiano
- Tumethibitisha usharikiano na vikundi zaidi ya
kumi na mbili.
- Tumekuwa tunajadiliana na WIPO na UNCTAD kuhusu
mambo ya haki za rasilimali kiutaalamu
|
|