YALIYOMO (Table of Contents)
Mifumo ya Maarifa ya Asili katika Afrika Kusini mwa Sahara:Kwa Muhtasari.
Mifumo ya Maarifa ya Asili Endelevu katika Kilimo kwenye Maeneo ya Vijijini ya Majimbo ya Kaskazini na Kusini ya Matabeleland Nchini Zimbabwe
Wanawake wa Senegal Wajenga Upya Utammaduni Wao.
Kutoka"Kufuru" Hadi uendelevu: Upandaji miti upya na Kilimo cha kutumia mbolea ya asili katika jumuiya ya forikrom, Ghana.
Burkina Faso: "Kisomo cha watu wadogo" wa jumuiya ya nomgana.
Wandesha Benki za Vijiji: Uzoefu wa Fandene (Senegal).
Kujua Kusoma na Kuandika na Uongozi katika Jumuiya ya Kijijini: Uzoefu wa Nwodua, Ghana.
Kutunza Mazingira Katika Pwani ya Magharibi ya Senegal.
Usitawishaji wa Chama cha Kilimo Nchini Mali: Kuongeza Viwango vya Uwezeshaji wa Wenyeji.
Tiba ya Kienyeji kwa watoto walioathiriwa na vita katika Afrika.
Matumizi ya Eliu ya Kurani katika Nchi za AfrikaMagharibi.
Afya: Marrifa ya Asili, Faida linganifu.
Senegal:Demokrasia ya umma ikifanya kazi.
Maarifa ya Asili na Haki za Uvumbuzi.
Uvumbuzi upya wa Uanagenzi na Taratibu za Kuingia Utu Uzima: Kuingia kwenye Uchumi miji katika Afrika Kusini mwa Sahara.
Huduma za mikopo kwa wanawake wa Ghana