THE WORLD BANK GROUP A World Free of Poverty
Home
Indigenous Knowledge Program


Kwanini

Kwanini ni muhimu

Malengo

Mafanikio

Kiunzi cha utendaji

MA kwa mtazamo wa Haraka

Databesi

Washiriki wenzi

Nini kipya

Taarifa za MA

Rasilimali za MA

Mabunda ya MA

Mrejesho


   Click one of these for:  français | português | wolofEnglish

Malengo

Webu ya Programu ya Maarifa ya Asili (MA) ni njia ya kufikia vyanzo mbalimbali juu ya MA. Lengo lake ni kutoa fursa ya mabadilishano ya mawazo baina ya jumuiya za wenyeji, mashirika yasiyo ya kiserikali (NGOs), serikali, wafadhili na vyama vya kiraia. Lengo la webu ni kusaidia kuyaelekeza maarifa ya asili katika shughuli za washiriki wenzi wa maendeleo na kuongeza upeo wa faida zinazotokana na misaada ya maendeleo, hasa kwa watu masikini.

Mikakati

Malengo haya yanatekelezwa kwa kupitia mikakati mbalimbali. Mikakati hii inajumuisha databesi juu ya maarifa ya asili na matumizi yake, kukiwemo na chunguzi kifani zaidi ya 100 na mfululizo wa Taarifa za MA ambazo zinatoa kwa kina utatuzi wa masuala tata mbalimbali unaopendekezwa na wenyeji. Aidha programu inasaidia vituo vya rasilimali barani Afrika (kwa sasa vipo vituo vinane) vinavyojishughulisha na ubainishaji na usambazaji wa maarifa ya asili pamoja na matumizi yake. Kwa kufanya kazi na serikali na washiriki wenzi wenyeji, programu imeanza pia kusaidia kuelekeza matumizi ya MA katika miradi ya Benki ya Dunia na katika programu za maendeleo ya kitaifa .

Maonyesho ya Maarifa

Mkutano wa GK II

Mabunda ya Maarifa za Asili

Meneja wa Programu:

Nicolas Gorjestani

Meneja utekelezaji:

Reinhard Woytek


Footer